salamu wakuu..
naomba kuuliza mtoto amefaulu kidato Cha nne kapata divishen 2 masomo ya sayansi yote kapata c kasolo bailoj kapata A
ndoto zake anatamani kuwa eiza awe rubani au injinia akikosa sana awe daktari
sasa wadau kwaufaulu wake Hapo itawezekana malengo yake ili nimpambanie?