Dr Matola PhD JF-Expert Member Oct 18, 2010 56,611 93,318 Sep 3, 2011 #21 mikatabafeki said: wengine ni tabia hvo hata azeeke ye ni mpango mzima Click to expand... Hapa siwazungumzii wanawake wa aina ya Wema Sepetu,.......lah hasha.
mikatabafeki said: wengine ni tabia hvo hata azeeke ye ni mpango mzima Click to expand... Hapa siwazungumzii wanawake wa aina ya Wema Sepetu,.......lah hasha.
M Mapujds JF-Expert Member May 12, 2011 1,286 127 Sep 4, 2011 #23 Ukimlizisha mwanamke anatulia ila ukifail hapo tu hatotulia hata miaka mia.piga game vizuri jitahidi kumpatia mahitaji na muonyeshe upendo wa juu.hizo ni dawa tosha labda awe na jini mahaba.
Ukimlizisha mwanamke anatulia ila ukifail hapo tu hatotulia hata miaka mia.piga game vizuri jitahidi kumpatia mahitaji na muonyeshe upendo wa juu.hizo ni dawa tosha labda awe na jini mahaba.