Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 1,005
- 1,107
Ndizo ziliwaacha utupu ana Kadarshian na mastaa kibao,hakuna kitu salama dunia ya sasa zote ni promo tuKaribu san ndugu ulimwengu wa Apple..! In short ni simu nzuri na utaifurahia sana kwa vityu vingi na vya kiutofauti kabisa na android yapo mengi sana mazuri pia ukijifadhi document zako mule zinakuwa safe dhan other fone So nakushauri ununue iphone utaipenda na pia ukihitaji masaada zaidi njo PM ntakuelekeza kaka
Kabisaaaa imagine Google wanajua utafika SAA ngapi nyumbani kwakoNdizo ziliwaacha utupu ana Kadarshian na mastaa kibao,hakuna kitu salama dunia ya sasa zote ni promo tu
Karibu san ndugu ulimwengu wa Apple..! In short ni simu nzuri na utaifurahia sana kwa vityu vingi na vya kiutofauti kabisa na android yapo mengi sana mazuri pia ukijifadhi document zako mule zinakuwa safe dhan other fone So nakushauri ununue iphone utaipenda na pia ukihitaji masaada zaidi njo PM ntakuelekeza kaka
Wala usijishauri kununua mkuu, Apple ndo wenyewe kwenye suala la kutengeneza simu zilizo na ubora maana wao huwa wanatengeneza high end phone tu, ila kama ulizoea kutumia Android phones mara ya kwanza itakupa shida kidogo ila ukishaizoea mambo murua kabisa no lag no crashHabarini wakuu
Naomba wenye ufahamu wa hizi simu za I phone 6 na 6plus. Matatizo yake common ni nini na ubora wake ni upi na tofauti ya hizo model nini? Naomba kujua kabla sijahesabu mpunga wakuu
Wala usijishauri kununua mkuu, Apple ndo wenyewe kwenye suala la kutengeneza simu zilizo na ubora maana wao huwa wanatengeneza high end phone tu, ila kama ulizoea kutumia Android phones mara ya kwanza itakupa shida kidogo ila ukishaizoea mambo murua kabisa no lag no crash
Mhhhh,... Mkuuu una uhakika gan na usalama wa iphone while china washapenetrate iyo apple!!!! Pia washatengeneza hardware za kuweza kutoa lockApple kutam jamani ata uwe una watch video gizani ukitoka nje unaona kawaid hahaha jarbu ivo kwa android uone ka ukitoka nje uja mfananisha boY as a girl and ice versa mambo ya retina display ayo naalie sema swala la kina kim karadShian yy ana uhakika gan kama izo documments zai zilibiwa zkiw kwenye iphone al annasume Mastaa wote wanatunia Apple hha
Mhhhh,... Mkuuu una uhakika gan na usalama wa iphone while china washapenetrate iyo apple!!!! Pia washatengeneza hardware za kuweza kutoa lock
Zaidi ya camera nzuri, simu za Samsung hazina zinachoifikia iphone.
Iphone is a productivity phone, highly customizable between hardware and software.
Acha kudanganya watu mkuu, unataka kuniambia kuwa una uwezo wa kupenetrate server za Apple!?wambie utamu wa iphone hao Af pia mwenye iPad,mcbook,imack,iwatch,imack kasoro iphone narudia tena kasoro iphone mm natoa icloud within 2hrs remotely 100% ka una kaz lete
Acha kudanganya watu mkuu, unataka kuniambia kuwa una uwezo wa kupenetrate server za Apple!?
Acha kudanganya watu mkuu, unataka kuniambia kuwa una uwezo wa kupenetrate server za Apple!?
Mkuu acha utapeli maana ni kosa, hizi picha sio kishawishi kwangu hata kidogo, maana hata mimi naweza nikatengeneza picha kama hizi, si napiga screen shot wakati device ikiwa locked na icloud halafu naweka icloud off kwa kuweka password kisha nascreen shot tena, ungeniambia unaweza kutoa pass code lock hapo ningekubaliana na wewe lakini icloud lock hapo hujanishawishi hata kidogo, geeks wa hii dunia wanahangaika na icloud, ni CIA tu na akina Snowden wanaweza kuhangaika na icloud lakini sio type yako unless uwe hujui icloud maana yake ni nini!kaka kama una device yoyote nlotaja apo juu noomba chuku namba hii 0765096851 ni tafte tufanye kaz uc n chafulie jina cjawai ibia mtu ata shilingi moja na mm co chizi mpaka niandike kitu kama ichi inamaananina uhakika aslimia 100% tafadhr naomba uni heshmu tu kama una kazi lete ko Aple ndo wamekua Miungu izo seva zao kazi tikisiki nakama unataka nikuoneshe proove cheki iizipichaapa