Naomba kuelekezwa kuhusu kozi ya Environment

Joined
Oct 5, 2016
Posts
6
Reaction score
2
jamani kuna mdogo wangu kachaguliwa kozi ya environmental science and management pale ardhi hv hyo kozi ni nzuri? na inahusu nini? na vipi kuhusu ajira zake?
 
Ukichaguliwa ardhi ni shule tosha ya kukuwezesha kukaa mtaani bila ajira life likasonga .
 
Mi mwenyew nimechaguliw hyo koz but wenichagua muhimbili...its all about ubibi afya...hope umenielewa
 
Hiyo ya Muhas ni tofauti na ya Ardhi.Ya kwenu inaitwa environmental health sciences

Karibu Muhas dada
 
Ni course nzuri sana kiukweli, kama unapenda kusafiri mara kwa mara, pia kupata marafiki wengi/ kusocialize, environmental science and management itakufaa sana rafiki. Kikubwa zaidi kuhusu hiii course ni kwamba unaweza kufanya kazi kada mbali mbali/mashirika mbali mbali.Inahusu usimamizi wa mazingira, mabadiliko ya hali ya hewa pia utanzaji wa mazingira na viumbe hai. Pia unaweza kujitolea wewe binafsi kutunza mazingira na viumbe hai, usijali kuhusu ajira ndugu, unaweza kuajiriwa na NEMC, wakala wa misitu, kwenye migodi, viwandani, dawasco na mashirika mengine kama hayo. Be free na hii course rafiki, ukizingatia dunia sasa hvi inakabiliana na uchafuzi wa mazingira, mabadiliko ya tabia ya nchi pia kuongezeka kwa joto duniani. THINK TWICE MY FRIEND.
 
Hapo kwenye migodi nitafanya kazi Kama nani
 
Back
Top Bottom