Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 956
- 422
Habarini wana jamvi kuna kitu kinanisumbua hapa
mimemaliza form four mwaka jana na matokeo ni kama hivi
S1049/0063
M
20
II
CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'B' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' AGRI - 'D' B/MATH - 'D'
sasa nilikuwa nauliza naweza pata nafasi chuo cha DIT au MUST niki apply kama private sponsorship
na napenda kusoma Computer Engineering wapi naweza pata nafasi kweli?