Mdogo wangu amemaliza Diploma ya Marketing amefanya kazi kwenye baadhi ya cargo Dar es Saalam anauzoefu na marketing na hachagui kazi 0685141035 yupo Dar.
Jamani! Hizi kazi za white color labda huwe na godfather kuzipata faster! Vinginevyo tafuta saidia fundi! Mimi nina kazi za ujenzi mdogomdogo mifuko 2/3 naita fundi anapiga kazi anasepa na 30/40