Naomba kazi ya udereva bodaboda

Naomba kazi ya udereva bodaboda

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
1,384
Reaction score
2,082
Life can humble you. Hili ndo limenitokea

Wakuu nimekuja kwenu kuomba kazi ya udereva bodaboda.

Mwenzenu ni kijana wa kitanzania ninaishi mkoa wa Dar es Salaam Kimara. Naomba mwenye bodaboda na hajapata dreva, niko tayari maana life limebana sana.

Nina familia ya mke wa ndoa kabisa hivyo ni mtu mwaminifu.

Naomba unipm kwa utakayeona naweza fanya nawe kazi kwa mawasiliano zaidi
 
Dereva boda watamu jamn ila kwa umbea ndo basi tenaa,
 
Usually hua nachukia story ndefu bila suluhu so nitakachoandika hapa ndicho ninachochukia kuona kinafanywa ila no way out. Na nitaandika experience yangu.

Baada ya kuona kuanza udereva boda ni option pia kwangu nikajisogeza kwenye kijiwe cha boda nikazoeana nao nikaanza kua nagewa day worker. Baada ya mazoea na uaminifu kupanda nikaja kujua kuna watu mtaani kwetu wanatoa boda za mkataba na ninachotakiwa ni kufanyiwa recommendation na wenzangu wa kijiweni.

Nikaja pia kujua kama nina kiasi kidogo naweza kupeleka pale Watu Pikipiki na nikachukua ya mkopo. Kwa kukosa kianzio nikaenda kwa jamaa ambaye anatoa boda za mkataba.

Point yangu ni kwamba naamini step yako ya kwanza ilibidi iwe kijiwe cha boda, hapo utagewa day worker na utagewa options nyingi tu za kuweza kugewa chombo. Hapa online kama kuna mtu anaweza saidia I hope ataona kabla hali haijawa mbaya.
 
Asante mkuu kwa note to take.
 
Back
Top Bottom