Edo Mashili
Member
- Apr 19, 2015
- 24
- 0
Nisaidien ndugu zangu kazi ambayo itanisaidia kuendesha maisha yangu kwani nimemaliza kidato cha sita kwa uweza wa Mungu pekee japo nategemea kuanza chuo ila hali yangu ni mbaya sana wazazi wangu waliniacha {walifariki}baada ya kumalza kidato cha 4 tu,nisaidien ndugu zangu napatikana Arusha na ningependa zaid kufanya kaz hapa Arusha......naombeni ndugu zangu mawasiliano yangu ni +255713855740 au +255758483433