Naomba kazi au nipewe nafasi katika TBC nibadirishe

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,658
Poleni kwa Uchovu na purukushani ya madawa ya kulevya najua wengi mawazo yenu mumeamishia uko
Mimi ni kijana wa Tanzania mwenye mapenzi mema na Taifa pendwa la Tanzania
Watu wengi wanalalamikia shirika letu la Habari TBC ivyo Leo Mimi nataka kurudisha heshima ya Shirika letu ili watu wote wapendi kuangalia TBC
Uchunguzi wangu mdogo nilio ufanya nimegundua yafuatayo
1:TBC hakuna ubunifu wa vipindi ivyo inakosa mvuto katika jamii na kushindwa kujiongoza ki biashara
Ivyo Mimi naomba nipewe nafasi kama Creative Designer katika Department ya Pre production au ya Utengenezaji wa Vipindi Nina Imani mukinipa nafasi iyo nitaweza kuboreshea Vipindi na kuanzisha Vipindi Vipya ambavyo vitafanya TBC iwe mshindani mkubwa kibiashara
Malipo
NIPO TAYARI KUFANYA KAZI BURE MUNIPE NAULI TU ILA LENGO LANGU NIIFANYE TBC KUWA MSHINDANI MKUBWA KATIKA MAMBO YA MEDIA NA IWEZE KUJIENDESHA KI BIASHARA
NINA UHAKIKA BAADA YA MUDA FULANI
 
Poleni kwa Uchovu na purukushani ya madawa ya kulevya najua wengi mawazo yenu mumeamishia uko
Mimi ni kijana wa Tanzania mwenye mapenzi mema na Taifa pendwa la Tanzania
Watu wengi wanalalamikia shirika letu la Habari TBC ivyo Leo Mimi nataka kurudisha heshima ya Shirika letu ili watu wote wapendi kuangalia TBC
Uchunguzi wangu mdogo nilio ufanya nimegundua yafuatayo
1:TBC hakuna ubunifu ASA wa vipindi ivyo inakosa mvuto katika jamii na kushindwa kujiongoza ki biashara
Ivyo Mimi naomba nipewe nafasi kama Creative Designer katika Department ya Pre production au ya Utengenezaji wa Vipindi Nina I man I mukinipa nafasi iyo nitaweza kuwaboreshea Vipindi na kuweka Vipindi Vipya ambavyo itafanya TBC iwe mshindani mkubwa kibiashara
Malipo
NIPO TAYARI KUFANYA KAZI BURE MUNIPE NAULI TU ILA LENGO LANGU NIIFANYE TBC MSHINDANI MKUBWA KATIKA MAMBO YA MEDIA NA IWEZE KUJIENDESHA KI BIASHARA
NINA UHAKIKA BAADA YA MUDA FULANI

Badilisha kwanza uwezo wako wa kutumia lugha ya kiswahili maana ina hitilafu kubwa hata kuliko hayo matatizo ya TBC!
 
Poleni kwa Uchovu na purukushani ya madawa ya kulevya najua wengi mawazo yenu mumeamishia uko
Mimi ni kijana wa Tanzania mwenye mapenzi mema na Taifa pendwa la Tanzania
Watu wengi wanalalamikia shirika letu la Habari TBC ivyo Leo Mimi nataka kurudisha heshima ya Shirika letu ili watu wote wapendi kuangalia TBC
Uchunguzi wangu mdogo nilio ufanya nimegundua yafuatayo
1:TBC hakuna ubunifu ASA wa vipindi ivyo inakosa mvuto katika jamii na kushindwa kujiongoza ki biashara
Ivyo Mimi naomba nipewe nafasi kama Creative Designer katika Department ya Pre production au ya Utengenezaji wa Vipindi Nina I man I mukinipa nafasi iyo nitaweza kuwaboreshea Vipindi na kuweka Vipindi Vipya ambavyo itafanya TBC iwe mshindani mkubwa kibiashara
Malipo
NIPO TAYARI KUFANYA KAZI BURE MUNIPE NAULI TU ILA LENGO LANGU NIIFANYE TBC MSHINDANI MKUBWA KATIKA MAMBO YA MEDIA NA IWEZE KUJIENDESHA KI BIASHARA
NINA UHAKIKA BAADA YA MUDA FULANI
Hongera kwa kuwa tayari kujitolea. Je unaujuzi na uandaaji wa vipindi vya runinga?
 
Kwa hapo ilipofikia TBC inatosha inatuburudisha watazamaji wake siku zote maboresgo labda miaka 50, jaribu sibuka tv
 
Tbc ni wapambe wa ccm, hawahitaji maujuzi yako. Tido Muhando alikuja na maujuzi mengi kuliko yako na akaipa sura mpya. tbc ikaanza kupendwa sana na watz, ccm wakamtimua Muhando.
 
Ujuzi ninao wa kutosha ndio maana nataka nijitolee ili tuweze kurudisha heshima ya TBC hakika pamekosa ubunifu
Ok fine! Swali la pili: Ili uweze kuandaa kipindi cha TV chenye ubora unaoutaka utahitaji nyenzo zipi kwa uchache (minimum requirements). Nivumilie, bado ninayo maswali mawili kutegemea na jibu lako.
 
Kama kuandika hujui vipi ukipewa nafasi si utaua kabisa huyo mgonjwa.

Hahahha unavyoandika kama uko polisi unatoa taarifa ya madawa ya kulevya
 
Ok fine! Swali la pili: Ili uweze kuandaa kipindi cha TV chenye ubora unaoutaka utahitaji nyenzo zipi kwa uchache (minimum requirements). Nivumilie, bado ninayo maswali mawili kutegemea na jibu lako.
Unique tv's show idea, Presenter anayefiti kipindi, mwonekano/background, graphics designing za ukweli, high quality production equipment, editor mbunifu Na crew ya wabunifu n.k
 
Ok fine! Swali la pili: Ili uweze kuandaa kipindi cha TV chenye ubora unaoutaka utahitaji nyenzo zipi kwa uchache (minimum requirements). Nivumilie, bado ninayo maswali mawili kutegemea na jibu lako.
kwanza ujue kipindi bora ni kipi,unapo sema kipindi bora unamaanisha nini
1:quality ya muonekano wa Videos
2:Mpangilio
3:Theme ya kipindi
Kwa Dunia ya sasa hivi kipindi bora ni kile chenye impact chanya katika jamii
Sasa Mimi ni Creative Designer ili niweze kupata kipindi bora
1:nafanya utafiti niweze kujua market gap au weakness katika Current market au Vipindi vingine
2:kutunga kipindi
3:Recruiting Host wa kipindi hapa namtafuta MTU atakaye endana na kipindi
4:Location
5:production crews nzuri
 
Sasa kama uandishi hujui utafanyaje kazi yako hiyo hivi neno ASA ni nini naomba nipe jibu !

Unapoomba kazi wanakuangalia una kipi cha ziada sasa kama uandishi ni bomu hivi je ku_design vipindi je?

Kwa mtu makini anakujua kuwa wewe ni bomu zaidi ya TBC yenyewe.
ndio tatizo letu change ur mind uandishi wa kiswahili unahusiana nini ujue ni ujinga kuamini kujua kuandika kiswahili vizuri ndio usomi Mimi nimesoma PCB Nina C ya kiswahili
 
Purukushani...mumeamishia...uko...kijana wa Tanzania...shirika la habari.....ivyo...wapendi....asa...ivyo....mukinipa.....iyo.....ambavyo itafanya....munipe.

Kama umeshindwa kung'amua hapo makosa yako na hujahariri iweje leo useme unaweza uka-design vipindi na kuweka vipindi vipya kwa uandishi uchwara huu walah ! Utakuwa ni kituko zaidi ya TBC yenyewe.

Nauliza kuhusu makosa yako unajibu (sijaomba kazi ya uandishi) yaani sikukatishi tamaa ila wewe nae ni KILA..Z..A
 
Back
Top Bottom