aminangalo JF-Expert Member Joined Aug 31, 2013 Posts 974 Reaction score 190 Jan 9, 2014 #1 Nimekuwa msabiki wa chadema na ccm kwa muda bila kuwa na msimamo ila kwasasa naomba kuhamia ccm kama mwanachama mtihifu
Nimekuwa msabiki wa chadema na ccm kwa muda bila kuwa na msimamo ila kwasasa naomba kuhamia ccm kama mwanachama mtihifu
masanjasb JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 2,364 Reaction score 869 Jan 9, 2014 #2 Sasa hapa ni Lumumba au Magogoni? Nenda kachukue kadi yako mtaa wa lumumba bwana
Nicholas JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 25,260 Reaction score 7,217 Jan 9, 2014 #3 mbon ahta wezi hudondosha njiani?
S Sindano Sugu Member Joined Nov 26, 2013 Posts 10 Reaction score 0 Jan 9, 2014 #4 Kwan we ofisi za ccm huzijui?.
SOCIOLOGISTTZ JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 2,615 Reaction score 929 Jan 9, 2014 #5 Zitto anazo nyingi tu, nenda kachague yenye no ya uanachama unayoitaka
Kasimba G JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 3,428 Reaction score 2,613 Jan 9, 2014 #6 aminangalo said: Nimekuwa msabiki wa chadema na ccm kwa muda bila kuwa na msimamo ila kwasasa naomba kuhamia ccm kama mwanachama mtihifu Click to expand... Kwahiyo kwa uelewa wako FJ ndio wanatoaga kadi za vyama?
aminangalo said: Nimekuwa msabiki wa chadema na ccm kwa muda bila kuwa na msimamo ila kwasasa naomba kuhamia ccm kama mwanachama mtihifu Click to expand... Kwahiyo kwa uelewa wako FJ ndio wanatoaga kadi za vyama?
Mandla Jr. JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 3,098 Reaction score 631 Jan 9, 2014 #7 chadema wameharibu mpaka kiswahili chako....Karibu ndani ya chama tawala!
K kigoda JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,781 Reaction score 359 Jan 9, 2014 #8 Najua tu wewe ni ccm cdm hujui hata kiswahili? Mwigulu mkubwa wee.
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,719 Reaction score 13,423 Jan 9, 2014 #9 Wewe mbona unajulikana ni gamba muda mrefu, ona na maviatu yake yalivyo, kwanza nimekusonya.
Tony Gwanco JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 5,913 Reaction score 1,217 Jan 9, 2014 #10 karibu sasa kwa chama dume chama cha wapenda amani na waleta maendeleo.ni pm mkuu
K kindondindo JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 503 Reaction score 151 Jan 9, 2014 #11 magamba wamepata chakuongea!
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,583 Jan 9, 2014 #12 Nenda hata MSALANI kwenye hifadhi ya kinyesi utapata kadi ya wafu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 9, 2014 #13 aminangalo said: Nimekuwa msabiki wa chadema na ccm kwa muda bila kuwa na msimamo ila kwasasa naomba kuhamia ccm kama mwanachama mtihifu Click to expand... kweli wewe msabiki...
aminangalo said: Nimekuwa msabiki wa chadema na ccm kwa muda bila kuwa na msimamo ila kwasasa naomba kuhamia ccm kama mwanachama mtihifu Click to expand... kweli wewe msabiki...
Ushirombo JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,711 Jan 9, 2014 #14 haaaaaah haaaaaaaah unafiki huo dogo
J jakakseru Member Joined Oct 9, 2013 Posts 35 Reaction score 10 Jan 9, 2014 #15 Kweli wewe haunatofauti na mkia..........!
Mkya JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 667 Reaction score 94 Jan 9, 2014 #16 Mjuni Lwambo said: Wewe mbona unajulikana ni gamba muda mrefu, ona na maviatu yake yalivyo, kwanza nimekusonya. Click to expand... Acha dharau wewe mkaka
Mjuni Lwambo said: Wewe mbona unajulikana ni gamba muda mrefu, ona na maviatu yake yalivyo, kwanza nimekusonya. Click to expand... Acha dharau wewe mkaka
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jan 9, 2014 #17 aminangalo said: Nimekuwa msabiki wa chadema na ccm kwa muda bila kuwa na msimamo ila kwasasa naomba kuhamia ccm kama mwanachama mtihifu Click to expand... Loading...nimekuzara...sana
aminangalo said: Nimekuwa msabiki wa chadema na ccm kwa muda bila kuwa na msimamo ila kwasasa naomba kuhamia ccm kama mwanachama mtihifu Click to expand... Loading...nimekuzara...sana
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,536 Jan 9, 2014 #18 aminangalo said: Nimekuwa msabiki wa chadema na ccm kwa muda bila kuwa na msimamo ila kwasasa naomba kuhamia ccm kama mwanachama mtihifu Click to expand... karipoti LUMUMBA.hakikisha unajiandikisha team buku7 uanze kupata commission yako...
aminangalo said: Nimekuwa msabiki wa chadema na ccm kwa muda bila kuwa na msimamo ila kwasasa naomba kuhamia ccm kama mwanachama mtihifu Click to expand... karipoti LUMUMBA.hakikisha unajiandikisha team buku7 uanze kupata commission yako...
50thebe JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 4,139 Reaction score 4,117 Jan 9, 2014 #19 Kasimba G said: Kwahiyo kwa uelewa wako FJ ndio wanatoaga kadi za vyama? Click to expand... Pengine ameona JF ni tawi la CCM.
Kasimba G said: Kwahiyo kwa uelewa wako FJ ndio wanatoaga kadi za vyama? Click to expand... Pengine ameona JF ni tawi la CCM.
N Nyota Njema Senior Member Joined Nov 18, 2010 Posts 148 Reaction score 16 Jan 9, 2014 #20 Pambafu, toka lini ugamba ukatafutwa kwa shida namna hiyo?