Naomba jina la huyu mdudu..

nyesele[emoji23][emoji23],,
wale wa masasi
 
Reactions: dtj
huyu ni nyegele anapenda kukaa kwenye nguo za ndani za kinadada saingine huwa anawatekenya unaweza kumkuta mdada anachekacheka mwenyewe au anakimbilia kupost uzi wa kinyegenyege humu,ukiona hivo ujue huyu mdudu yupo kule
 
Huyo cc tunamuita nyenze, mara nyingi huwa wanaonekana kipindi cha mvua

Wanakaa kwenye miti, huwa wanalia kwa kutoa sauti kalii hadi wanapasuka na ndo unakuwa mwisho wa maisha yao
 
Ni kweli, ndivyo hufanya hivyo, lakini jina lake sijui.
 
huyu ni nyegele anapenda kukaa kwenye nguo za ndani za kinadada saingine huwa anawatekenya unaweza kumkuta mdada anachekacheka mwenyewe au anakimbilia kupost uzi wa kinyegenyege humu,ukiona hivo ujue huyu mdudu yupo kule
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…