zegamba180 JF-Expert Member Oct 8, 2014 820 541 Feb 26, 2016 #1 Unapohitaji kumuita ama kumtambulisha anayeshona nguo. Unasemaje mwenzangu, ni fundi nguo? ama fundi cherehani?
Unapohitaji kumuita ama kumtambulisha anayeshona nguo. Unasemaje mwenzangu, ni fundi nguo? ama fundi cherehani?
mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 31,422 38,743 Feb 26, 2016 #2 Hiv jukwaa la lugha limechukuliwa na bakita???
dansmith JF-Expert Member Dec 21, 2013 2,305 2,095 Feb 26, 2016 #3 Mi nshangaa huyu zegamba kala viroba nini peleka jukwaa husika
Kim Il Kwon JF-Expert Member Nov 13, 2015 1,219 1,034 Feb 26, 2016 #4 mkuu ipeleke mada jukwaa husika kwanza, nakuhakikishia utapata majibu mpaka ufurahi! hii ndo JF wanakoishi wataalam wa kila kitu, usiogope!
mkuu ipeleke mada jukwaa husika kwanza, nakuhakikishia utapata majibu mpaka ufurahi! hii ndo JF wanakoishi wataalam wa kila kitu, usiogope!