Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Mar 5, 2011 #1 Baada ya cdm kutembelea kgr, pm naye alikwenda huko, kukawa na wasiwasi kama angeweza kuvutia umati kama cdm, am curious kujua yaliyojiri huko mbona hakuna taarifa yoyote au taarifa ndio hiyo?
Baada ya cdm kutembelea kgr, pm naye alikwenda huko, kukawa na wasiwasi kama angeweza kuvutia umati kama cdm, am curious kujua yaliyojiri huko mbona hakuna taarifa yoyote au taarifa ndio hiyo?
Lyimo JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,826 Reaction score 2,023 Mar 5, 2011 #2 Anakoromea watendaji wa Halmashauri tu, zaidi akihisi pesa za miradi kuliwa (inaonekana kweli). Labda anajifunza namna ya kuwadhibiti MAFISADI?
Anakoromea watendaji wa Halmashauri tu, zaidi akihisi pesa za miradi kuliwa (inaonekana kweli). Labda anajifunza namna ya kuwadhibiti MAFISADI?
AMARIDONG JF-Expert Member Joined Jun 24, 2010 Posts 2,501 Reaction score 189 Mar 5, 2011 #3 NILIMUONA ANAMBUSU BABA ASKOFU KILAINI,SIJUI AMEANZA KALE KATABIA AU NDIO MAMBO YA u p a k o UPAKO
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Mar 5, 2011 #4 lyimo said: Anakoromea watendaji wa Halmashauri tu, zaidi akihisi pesa za miradi kuliwa (inaonekana kweli). Labda anajifunza namna ya kuwadhibiti MAFISADI? Click to expand... yaaani anapokoloma tuu mimi namkumbuka FISADI LOWASA KAZI ALIKUWA ANAPIGA!
lyimo said: Anakoromea watendaji wa Halmashauri tu, zaidi akihisi pesa za miradi kuliwa (inaonekana kweli). Labda anajifunza namna ya kuwadhibiti MAFISADI? Click to expand... yaaani anapokoloma tuu mimi namkumbuka FISADI LOWASA KAZI ALIKUWA ANAPIGA!