jabeer_27 Member Joined Sep 4, 2022 Posts 7 Reaction score 3 Mar 17, 2023 #1 Ndugu Wana JF naomba kwa yeyote anaefahamu namna ya kufungua account ya YouTube na kuappload content kwenye mtandao huo..[emoji120][emoji120]
Ndugu Wana JF naomba kwa yeyote anaefahamu namna ya kufungua account ya YouTube na kuappload content kwenye mtandao huo..[emoji120][emoji120]
Flava90s JF-Expert Member Joined Dec 13, 2017 Posts 337 Reaction score 560 Mar 17, 2023 #2 jabeer_27 said: Ndugu Wana JF naomba kwa yeyote anaefahamu namna ya kufungua account ya YouTube na kuappload content kwenye mtandao huo..[emoji120][emoji120] Click to expand... Ingia YouTube mkuu, then uliza hilo swali utajibiwa kwa kuona kabisa zipo hata videos za kiswahili wanaelekeza chap dakika 5 tu account unatengeneza.
jabeer_27 said: Ndugu Wana JF naomba kwa yeyote anaefahamu namna ya kufungua account ya YouTube na kuappload content kwenye mtandao huo..[emoji120][emoji120] Click to expand... Ingia YouTube mkuu, then uliza hilo swali utajibiwa kwa kuona kabisa zipo hata videos za kiswahili wanaelekeza chap dakika 5 tu account unatengeneza.
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,796 Mar 17, 2023 #3 Haya
jabeer_27 Member Joined Sep 4, 2022 Posts 7 Reaction score 3 Mar 18, 2023 Thread starter #5 Shukrani [emoji1666]
JMipicha JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 704 Reaction score 1,096 Mar 22, 2023 #6 Nichek nikupe uzoefu