Ili Uwe unaenda kumpiga mizinga eeeh!Salama lakini?
Binafsi nilitokea kumpenda sana Huyu dkt Slaa kipindi kile akiwa mwana siasa.
Hii ilichagizwa na Siasa zake na uwakilishaji wake wa Hoja zenye tafiti.
Napenda sana mtu wa data zenye tafiti za kutosha wakati wa kuongea kuwakilisha hoja.
Stlyle yake ya hotuba ilinivutia nimpende japo sikuwahi kumwamini hata siku moja sababu mimi huwa siamini wanasiasa.
Ningeomba Mheshimiwa Rais asimtupe mbali na Tanzania kimipaka.
Nasema hivyo kwasababu huyu ndugu Slaa bado anamachungu mengi sana na Taifa hili.Kilichompata ni ajali ya kisiasa.
Analo deni kubwa moyoni lakuwatumikia watanzania.
Huyu Ndugu angepewa wizara ningefrahi sana sana.
Najua anayo ndoto japokuwa siamini kama anaamini ataitimiza ndoto ndani ya CCM.
Salama lakini?

Atashawishi nini VATICAN padri aliyeasi mkuu?Nchi itakayomfaa ni ITALY, ISRAEL,VATICAN au UJERUMANI Kwasababu ya historia yake,lugha anaongea,kasoma au kaishi huko kwa hiyo ni rahisi kwa ushawishi
Atashawishi nini VATICAN padri aliyeasi mkuu?
Kumbe ndio washauri wa Pengo?hapo sawa.ungejua kila siku wapo pamoja
wapo pamoja ni kama Lowasa na kikwete au Manara na Mogela! Hata TRUMP na Hilary Clinton ni mabest ha haKumbe ndio washauri wa Pengo?hapo sawa.