naomba ajira related to IT

naomba ajira related to IT

Umbly

Senior Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
118
Reaction score
2
help tafadhar! nimepata kufanya kazi ya kufundisha computer kama part time katika shule fulan hapa dar ila now najihusisha na biashara.nina advanced diploma ya computer science 2012, ata bila kulipwa nipo tayari!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom