Bandabichi
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 230
- 42
Aksante kiongozi, ntawacheck kesho. Vipi wako vizuri, si unajua bado kidogo matokeo ya wale wa Novemba yanatoka. Na sisi tuanze maandalizi mapema kaka.
Poa hakuna taabu, maana gap la mshahara ni kubwa saana, watoto wadogo wanalipwa kwa digit 7 mkuu.
ndo mpango mzima kaka, kuipata ile makitu inahtaji kujitoa muhanga, si mchezo. ukiipata hyo unakaribia kuaga toka kwenye umasikini. ila unajua kua wameweka research this time?
Poa tu ndo kupambana mkuu, hakuna kulala kabisa kwa hapo. Reseach wacha waweke tuu tutapambana tuu. Ninaoiga postgraduate chuo kimoja hapa Dodoma ntakuwa wa kutosha tuu kusoma hii makitu mkuu.
ndo mpango mzima kaka, kuipata ile makitu inahtaji kujitoa muhanga, si mchezo. ukiipata hyo unakaribia kuaga toka kwenye umasikini. ila unajua kua wameweka research this time?
Poa hakuna taabu, maana gap la mshahara ni kubwa saana, watoto wadogo wanalipwa kwa digit 7 mkuu.
Piga kwa watu wa Ap Financial Consultancy (0715 482070,0754...) . Matokea yanatoka kesho kutwa!!!Heshima mbele wakuu,
Kwa wakazi wa Dodoma, Ningependa kujua kituo cha Review classes kwa masomo ya Bodi ya Wahasibu (NBAA) kwa hapa
Dodoma na namba, na mawasiliano yao. Niweze kufanya maandalizi ya makitu wakuu. Especially module "E"
Noeli njema na Heri ya mwaka mpya.
Tusheherekee kwa Amani na Upendo.
Usiwe na over expectations kwenye CPA maana utajikuta ukiisoma kwa tension na matokeo yake ukawa unafanya vibaya katika matokeo au hata cku ukiipata utajikuta unakuwa stressed baada ya kuona hali halisi ya mfumo mzima wa kiutendaji. Soma kwa malengo ya kutaka kugrow ktk career yako ya Accountacy na co kwa malengo ya kutaka kupata mshahara mnono.