Mwaka ule nitakaopata MENOPAUSE.......wewe mtu,akipredict death yako hutaogopa????au ukipata terminal cancer na labda utakufa within a year HUTAHOFIA????....mwenzenu naogopa,maana ndio mwanzo wa kuishi kwa wasiwasi labda mwenzio anatafuta SUBSTUTE...kwa vile HU-PROVIDE anymore...
Hivi hamna dawa nzuri za asili za kutibu hili tatizo????
Nataka kunjunji na baba chanja,mpaka when am 70!😆😆😆😆😎😎😎
Hivi hamna dawa nzuri za asili za kutibu hili tatizo????
Nataka kunjunji na baba chanja,mpaka when am 70!😆😆😆😆😎😎😎