Naogopa...........

we unaonekana unapressure ya kupata kampani jaribu kutafuta marafiki wa kike wa karibu kuwa nao, kwa speed yako hii utaangukia pua mkuu, pole pole.

unaonekana unajua kupenda mpenzi wako kampani yako duh very rare chances duh i wish.
 
kwa sasa huna haja ya kukurupuka kutafuta mwenza unahitaji muda zaidi wa kukaa na kutuliza akili ...
naamini huu muda ndo wa kuweza kujitazama wapi umekosea japo wewe unaamini umetendwa lakini katika huko kutendwa utakuwa umechangia kwa njia moja au nyinine hivyo wapaswa upate muda kwanza wa kutulizana
 
eti miezi miwili, unaogopa.... subiri ukue dogo uoe!

HA AH AHAAAAAAAAAAA, nishakuwa mkubwa me sio dogo na ndo maana nataka na kuwa na nia ya kuoa
 
asante saaaaaaana, umeshauri vizuri saana thanks
 
Reactions: BPM
we unaonekana unapressure ya kupata kampani jaribu kutafuta marafiki wa kike wa karibu kuwa nao, kwa speed yako hii utaangukia pua mkuu, pole pole.

unaonekana unajua kupenda mpenzi wako kampani yako duh very rare chances duh i wish.

h aha haaa!! sifa ya kwanza ya mwanaume kamili ni kuwa na upendo wa dhat kwa ampendaye!!
and ndo mzazi wako baada ya mama na baba na mimi sina frienda yoyote wa kike ki kawaida thaat while
 
POINT but tatizo ni utamaduni wangu liojiwekea nadhani ndo unaniumiza pia, mimi baada ya kutoka officen ni ndani kwangu, sina rafiki yoyote mtaani na sina sehemu yoyote naweza enda bila 7bu ya msingi, pia siwezi na sipend kutoka toka ovyo!!
 
Me nakuonya wala sikushauri; achana na namna hiyo ya maisha ni mbaya itakuharibia ujana na hatimae maisha yako yote yatakuwa ya kujuta, yupo aliyetoka kwenye ubavu wako, usipoelewa watakutenda tena na hatimae watakushort time.
 
ASANTE sana, na mungu akujaalie kwa ushauri mzuri na naomba nawe pia uweunaniweka kwenye maombi yako
 
POINT but tatizo ni utamaduni wangu liojiwekea nadhani ndo unaniumiza pia, mimi baada ya kutoka officen ni ndani kwangu, sina rafiki yoyote mtaani na sina sehemu yoyote naweza enda bila 7bu ya msingi, pia siwezi na sipend kutoka toka ovyo!!

hata kama unajifungia ndani alone bado si tatizo naamini pia inaweza kukusaidia kutulizana kwani ukijiweka kwenye makundi unaweza kujikuta unashawishika kufanya maamuzi yasiyo sahih
 
ni kweli siwezi acha kupanda gari kwa kuwa naonaga ajali but, inategemea chanzo cha ajali ni nini mkuu!!
nishatafakari na kujua 7bu za kutendwa na nimegundua kuwa mimi sio mwenye makosa but niliowah kuwa nao ndo hawakuwa wife material!! thanks kwa ushauri mkuu nimependa
 
sometimes you need to change to achieve what you want? any way pole sana
 
wife material duh? unatumia vigezo gani kumjua wife material? kama utojali orodhesha, usijekuta wewe unawakosea
 
Mwandiko wako wako na namna unavyowakilisha mawazo yako, bado unaonekana kijana mdogo usiyejua matarajio ya mapenzi.
Ndio maana mwanzo mwisho umejawa kulalama....bado nakushauri subiri ukue kwanza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…