Najua hapa kuna wengi wana akili zao na waelewa japo wengne huwa siwaelewi but naombeni ushauri wenu:-
Nina kama miez 2 imepita tangu niwe kwenye maisha ya u single boy baada ya niliyekuwa nampenda kunifanyia kitu mbaya saana, ki ukweli nahisi kuhitaji kuwa na mpenz coz sina friends wala ndugu weng wa kunishauri wala kuni kampani, tatizo nahofia kutendwa tena na je nitaamini vp na kumpata vipi mwenye mapenzi ya kweli na ya kudumu coz sijawah na siwez kuwa na girl wa shot time au wa kupita tuu!!
naombeni ushauri wenu juu ya hili swala ndugu zangu nifanye nini??

naungana na HorsePower hapo juu. Usiogope kuumizwa tena, na wala usiyakurupukie sahv kuponya donda la kuumizwa. Take your time, fkria kwa umakini sababu wa yaliyopita kutokea na unataka huyo ajae aweje.