Hamjambo wana JF,
Ni hoja ya mtu ambaye si memba, kutokana na ninavyoisifia JF anataka apate ushauri hapa.
"Mimi ni mwalimu wa p/s, nimekuwa kazini kwa muda kidogo.
Siku hizi nakabiliwa na tatizo la kutegwa tegwa nawanafunzi, wanapenda kunichekea chekea irregular, kunichungulia chungulia, kunirembulia kwenye adhabu. Mpaka nimekuwa nikihisi kwa hulka yangu ya ukali mda mwingine, labda wazazi wamewapa mbinu nitengenezewe kesi.
Tabia hii inaudhi, nahisi nategwa.
Je niko sawa fikra zangu?"
Wasalam.
Mmmmh, shoga, mbona dem wake uwa anakujaNa inawezekana pia labda wameshasikia ' tetesi ' kama Wewe ni ' Shoga ' hivyo wanajaribu ' kukutega ' ili ' ubanduane ' nae waweze kuthibitisha. Nakushauri tu Mkuu Wewe tiririka na serereka nao ' Kibaiolojia ' ili wakukome na wakasimuliane mbele ya safari.
Ama KWELI walimu tunazalilishwa.Hv KWELI kitoto cha shule ya msingi miaka 11 mpaka 13 hao ndio wakubwa drs la 6 na 7 ndio wanakutoa udenda!!!!!!Shame on you na acha kidhalilisha kazi za watuHamjambo wana JF,
Ni hoja ya mtu ambaye si memba, kutokana na ninavyoisifia JF anataka apate ushauri hapa.
"Mimi ni mwalimu wa p/s, nimekuwa kazini kwa muda kidogo.
Siku hizi nakabiliwa na tatizo la kutegwa tegwa nawanafunzi, wanapenda kunichekea chekea irregular, kunichungulia chungulia, kunirembulia kwenye adhabu. Mpaka nimekuwa nikihisi kwa hulka yangu ya ukali mda mwingine, labda wazazi wamewapa mbinu nitengenezewe kesi.
Tabia hii inaudhi, nahisi nategwa.
Je niko sawa fikra zangu?"
Wasalam.
Hajasema anataman mkuu, anashangaa pepo hlo kwa aanafunziKweli uyuu mwalim jela inamuandama,ulisoma chuo gani cha ualimu?watt wa p\s unaanzaje kuwataman wanao hao,embu katubu iyo dhambi
kwa stairi hii si rahisi walimu kupewa stahiki zenu.Hamjambo wana JF,
Ni hoja ya mtu ambaye si memba, kutokana na ninavyoisifia JF anataka apate ushauri hapa.
"Mimi ni mwalimu wa p/s, nimekuwa kazini kwa muda kidogo.
Siku hizi nakabiliwa na tatizo la kutegwa tegwa nawanafunzi, wanapenda kunichekea chekea irregular, kunichungulia chungulia, kunirembulia kwenye adhabu. Mpaka nimekuwa nikihisi kwa hulka yangu ya ukali mda mwingine, labda wazazi wamewapa mbinu nitengenezewe kesi.
Tabia hii inaudhi, nahisi nategwa.
Je niko sawa fikra zangu?"
Wasalam.
Kama sio nayeye anatamaa unaanzaje kuhisi watt wanakutamani,kama huna mawazo hayo unadhani hao watt watakazana kujitamanisha kwako,Hajasema anataman mkuu, anashangaa pepo hlo kwa aanafunzi
Sijaskia mkuu em ntupie io tory apaKweli awamu ya tano balaa mpaka vitoto vya primary vinatega watu wazima jikaze Baba si umesikia ya babu mlinzi wa shule ya msingi huko bondeni kwa madiba
We nae hapo umetegwaje sasa, sema Wewe ndio unaowatamani mgoni Wewe.Hamjambo wana JF,
Ni hoja ya mtu ambaye si memba, kutokana na ninavyoisifia JF anataka apate ushauri hapa.
"Mimi ni mwalimu wa p/s, nimekuwa kazini kwa muda kidogo.
Siku hizi nakabiliwa na tatizo la kutegwa tegwa nawanafunzi, wanapenda kunichekea chekea irregular, kunichungulia chungulia, kunirembulia kwenye adhabu. Mpaka nimekuwa nikihisi kwa hulka yangu ya ukali mda mwingine, labda wazazi wamewapa mbinu nitengenezewe kesi.
Tabia hii inaudhi, nahisi nategwa.
Je niko sawa fikra zangu?"
Wasalam.
Sina dalil za kuwataman, sijui wanamatatzo gani.Kwahiyo mkuu na we hao watoto shuleni umewapenda mpaka kuwafungulia uzi hivi si wadogo zako hao au ndio nyie mdogo mpaka mzaliwe wote
Helped, namsomea, mawazo yenu, ata -filter mwenyewKama sio nayeye anatamaa unaanzaje kuhisi watt wanakutamani,kama huna mawazo hayo unadhani hao watt watakazana kujitamanisha kwako,
You just have to ignore them and they will stop,