Naogopa wanafunzi wa kike wananitega

Naogopa wanafunzi wa kike wananitega

not found 404

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
322
Reaction score
177
Hamjambo wana JF,

Ni hoja ya mtu ambaye si memba, kutokana na ninavyoisifia JF anataka apate ushauri hapa.

"Mimi ni mwalimu wa p/s, nimekuwa kazini kwa muda kidogo.

Siku hizi nakabiliwa na tatizo la kutegwa tegwa nawanafunzi, wanapenda kunichekea chekea irregular, kunichungulia chungulia, kunirembulia kwenye adhabu. Mpaka nimekuwa nikihisi kwa hulka yangu ya ukali mda mwingine, labda wazazi wamewapa mbinu nitengenezewe kesi.

Tabia hii inaudhi, nahisi nategwa.

Je niko sawa fikra zangu?"

Wasalam.
 
Unataka nini? Waalimu hangaikeni na matatizo yenu kwanza "kuna mdau alisema humu kuwa waalimu wa hii nchi ni....... Kweli ninaanza kuamini.
 
Mwambie mwalimu yeye ni mzazi wa watoto wakiwa shuleni, iweje sasa awatamani watoto hawa wa shule ya msingi? Aache udhaifu huo mara moja, tutamtatua marinda
 
Una fikra za mapenzi tu kichwani mwako, acha kuwasingizia wanafunzi, jizuie sana mkuu, tutalusahau huku mtaani, ipinge roho ya tamaa.
 
It shouldnt mean anything...
Hata wafanyaje, cha msingi wewe kumbuka ni mwalimu.
And being mwalimu is the only how you should act! Final!

Dont pay attention to what they are doin; ama sivyo utakuja kuwa carried away halafu watafsiri sheria wakupe 30 yrs.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Ni wewe au huyo rafiki mkuu??
Nyoosha maelezo upo nyuma ya keyboard mkuu
 
Back
Top Bottom