Naogopa kuolewa...

Kama unaogopa kuolewa si Uowe wewe???
In my opinion you are not a wife material, n namuhurumia huyo kijana coz atakuwa "2nd Husband" kwa mjibu wa maelezo yako! ukisikia ndoa zinazofungwa jioni then zinavunjika hasubuhi ndo kama hizi!


 
Faida za kuolewa

1. Utakuwa na uhakika wa " Dushelele" kila siku.

2. Utapunguza gharama za mawasiliano na huyo jamaa yako.

3. Ndoa inaongeza heshima ktk jamii. Huku kwetu kuna vikai vya kifamilia hauwezi shirki kama haujaoa.

4. Itakuondolea " dhambi" ya ZINAA

5. Utaongeza idadi ya ndugu.

6. Utapunnguza ghama za gesti.

n.k

Changanya na zako.
 
Mmmh! Mbona kama vile hujaridhika kuwa na huyo kaka!!?
ewaaa, hapo umegonga mule mule..., hajaridhika na huyo kaka, wala sio umri, oh sijui sitaki kuwaacha wazazi... blabla... Hakika akimpata anaempenda kweli kweli hatajiuliza hilo swali. ataililia hiyo ndoa ili asiwe mbali nae kila siku.
 
Huo ni utoto unakusumbua (ndiyo, kuna watoto wana miaka 30, 40 n.k) Kama vipi oa wewe?
 
Jifunze kuwacha wazazi na kwenda kuanza maisha yako mwenyewe.Hilo ni tatizo la kisaikolojia kuona kwama uwezi kuwaacha wazazi.Kwa umri uliofikia hata kama wanakupenda na wanakuona kama yai, lazima na wewe ufikirie kuja kuwa na familia yako.Huu ndio mda mzuri kwako kupanga kuolewa na umpendaye kwa dhati na kuanzisha maisha yenu wawili.Baba na Mama siwapo, watatunzana mpaka Mungu akapoamua vingine ndio manake wapo wawili au kama umeamua kubaki kwa wazazi wako well and good,fikiri na wewe ukifika 50yrs upo peke yako hunawakufa na kuzikana itakuwaje.Maisha ni yako na wewe ndio mwenye uamuzi wa mwisho.
 
Mkuu uko sahihi, ila sijakupata vizuri hapo kwenye namba 6.
 
huyo bado hayuko tayari. Akiwa tayari hatauliza mtu.
 

Me sijaoa ningekushauri but umetaka wakushauri waLIO KWENYE NDOA TU
 
ewaaaaa hapo kwe kupunguza gharama za gesti nimepaelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…