Naogopa kuolewa...

Bora usiolewe kuliko uolewe na kumtesa mumeo kwa kuenda kwenu kila siku. Kuna mhandisi mmoja mkewe anaendaga wknd kusalimia wazazi. Akifika tu next day anaumwa wiki 3. Na hajawahi kwenda kusalimia kwao asikae 3 wks to a few months.
 

Nafikiri muda wako wa kuolewa haujafika au pengine hauko tayari kuoelewa kwa sasa. Jipe muda, yatatokea automatic.
 
Sasa utakaa kwa wazazi mpaka lini?

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Endelea Kuogopa Kwanza Ili Uzeeke. Then Utaona Raha Ya Kuolewa Ukiwa Mzee
 
....hujui maana ya ndoa na maana ya wazazi, you need to grow up kwanza. Mind you kukua sio umri tu,ni pamoja na akili....
 
GUYS ME NI MALE....sio muhusika
 
Endelea kukaa nyumbani mwaya, we bado mdogo sana miaka 26! Ongeza mingine 20 hivi ukifikisha 46 utakuwa umekomaa vya kutosha kuikabili mikikimikiki ya ndoa.
 
olewa wewe upate dushelele la halali!!wazazi wako wenyewe waliacha kwao,itakuwa ww?wewe sio wakwanza kitinda mimba kuolewa
 
Utoto unakusumbua dada,kwa mwanamke nyumbani ni kwa mmewe ondoka ukaanzishe mji wako na ww uwe na familia yako ..right?
 
Hivi kwamfano ukiamishwa kikazi nje ya mkoa uliopo utaacha kazi ili ubaki na wazazi?

Kama mmelidhiana na huyo mchumba wako, oaneni tu, mwanzo utakuwa mgumu ila utakuja kuzoea tu, hakuna mtu asiyependa kwao.
Lady doctor umenena kweli,
hakuna haja ya ku complicate mambo......,
ndoa ina raha yake aingie ye mwenyewe atashangaa alikuwa wapi siku zote
 
Last edited by a moderator:
kuolewa ni hisia, amua mwenyewe, ukubwa wote huo unaogopa kuolewa? nenda tu kule ni kulala na nguo uliyozaliwa nayo tu.
 
Rafiki yako ni mtoto tu, akikua ataacha na kuitafuta mwenyewe dushelele. Pindi akilipata atahamia huko huko bila ya kushauriwa na mtu.
 
Tofali linataka kujenga nyumba but halitaki tofali jingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…