Natamani na wengine wangekuwa na roho kama yako, mwambie ukweli.
Hongera kwa kuwa muungwana.
Huyo wa kulia lia kwasababu ya simu kuwa busy tu inabidi umuache kwa akili maana anaweza hata akajiumiza ukimwambia humtaki. Mkalishe chini umsisitizie sana swala la kusoma. Mwambie we upo tu huendi popote ye asome alafu mambo mengine baadae. Usijamiiane nae, kama huwa mnaonana mara kwa mara punguza (jifanye uko busy),mapenzi yenu yawe ya simu zaidi huku ukipunguza mawasiliano taratibu.
Mkuu naomba jina la supermarket