Helo ndugu zangu wanajamii, najua tunaendelea na maisha vizuri.
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 niliachana na mpenzi wangu mwaka jana so baada ya muda mrefu kuwa mpweke nilianzisha urafiki na dada mmoja aliyeniambia anafanya kazi kwenye supermarket moja hapa mjini. Baadae nilimtongoza na akakubaliana nami so nikaona vyema na pia yeye anadai hajawahi kulala na mwanaume.
Wiki iliyopita nimegundua kuwa amemaliza form four mwaka jana na ana miaka 18 vitu ambavyo sikujua hapo awali,kiukweli naona nimemzidi sana umri(miaka 11) na pia sihitaji kusubiria amalize mambo yake ya shule maana nafikiria kuoa mapema. Yeye anadai ananipenda sana yaani usiku akipiga simu akakuta inatumika basi analia sana na pia sitaki kumtoa hiyo bikira yake maana najiona sisitahili hiyo heshima bali mtu mwenye mapenzi ya dhati kwake.
Naombeni ushauri wenu jinsi ya kumwambia kwani sifikirii kuwa nae kwanza ni mdogo sana kiumri na pia siwezi kumsubiri amalize shule
Samahani kwa uandishi usio mzuri.