Naogopa kumwambia nakupendaa!!!

Wanaume hutamka kutoka mdomoni, wakati wanawake hulitoa neno hilo moyoni, Hivyo ni lazima wanahakikisha kwamba linatoka moyoni
 
hapo kwenye blue aisee mie ni muumini mzuri sana wa kuskilizia sign za warembo na mara nyingi na mimi hua nawakubali kiaina so nackilizia sign...i.e kujipitisha pitisha, mara asimame mbele yako bila sababu za msingi..kuvunga vunga mixa na macho ya kuibia ibia nin hua napretend kama si mchori..ila ni full tatizo linakuja nikishaanza onesha interest tu daaah bhass mtoto ataanza kuachenga mixa kuzingua zingua mpaka mzee naaamsha kwa nisio wakubali sasa tatizo sijui nin am i too fast or am i too slow..? daah ishara hizi au ndo anataka consistency full kujislidisha etc etc mpaka nashindwaga kuwasoma vizuri yan...!!!
 
anaye sisimka haraka daima atakuwa wa kwanza kusema nakupenda , thats nature
 
:smile-big:

  • :smile-big:
    • :wave:
    kila mtu ana style yake jaman katika hii ktu,,wadada wengne wanaweza japo cio utamadun wetu wa kibongo



 
kusema nakupenda sio kama unasema tuu unaomba kura,inabidi itoke moyoni.
Ndo mana wenzetu 'waiti skins' wao kukwambia i love you in relationships,takes a long time . Cos wanaogopa consequenses. And it means a lot, doesnt come as Pah! Like dropping a glass on the floor!
Ila kiafrika kibongobongo mtu mmekutana mmebadilishana number ,kuchat siku moja kwa sms za extreme, tayri anakupenda kuliko oxygen!!
But back to topic:
kwa mtazamo wangu, womens means when they say that n she has to be sure she feels it n comfortable to say dat!
Men; they are ready to love,say or promise to mean! (not all of them). .but they are willing to do so anytime,
kuwahi ama kuchelewa inadepends mtu na mtu pamoja na hisia.
 

Kupenda ni neno kubwa. Halipaswi kutamka kama mtamkaji hamaanishi alichotamka.
Wanaopendwa kweli wanaambiwa.
 
Zubaa zubaa wenzako wa tanga wanasema wanawahi wewe tu ushamba wako wa kichaga
 
Wanaboa sana unamwambia mtu "I love u" mara mia yeye kimya au ok, poa, yeah!
 
wanajamii kuna dada nampenda lakini nashindwa kumwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…