Naogopa Kumuoa

HorsePower, nakumbuka mpaka naulizwa kama nitamuoa mtu (nakuwa engaged) sikuwahi kuulizwa kama nina uwezo wa kuzaa ama la! let alone kupelekwa hosp kuchekiwa uwezo wa kuzaa. Namshukuru Mungu nina watoto lakini mpaka sasa nina uhakika kuwa hata nisingekuwa na watoto bado ningekuwa mke wake.
Kila siku huwa tunakumbushana kuwa watoto hawahusiki katika mapenzi yetu, ni matunda tu ambayo Mungu ametujalia. Nakumbuka kuna wakati tunapotaka kufanya vitu fulani kwa ajili yetu (unajua tena sisi wamama tunawazia sana watoto) huwa nakumbushwa sana kuwa hawa watoto siyo part ya mapenzi. Tulianza wenyewe na mwisho wa siku tutabaki wenyewe, watoto wasituingilie
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…