Wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Baada ya kukaa muda mrefu katika mahusiano ya uchumba hatimaye nimekata shauri kumuoa kabisa binti wa watu. Watu wa Kilimanjaro ndo shemeji zangu hapa maana naja oa huko Moshi kesho J'mos Tar 03 Oct na tafrija itafanyika Mtwara-LA VILLE NOUVELLE HOTEL.
Ambao wameshaoa naomba kukaribishwa kwenye maisha mapya na ambao hawajaoa kwaherini kwenye ukapela.
We ubwabwa wako lini?Hongera mkuu, maisha mema kabisa ya ndoa
Daddy si Kila siku nakupikia ubwabwa teh teh... ( kuwa na subira mzee)We ubwabwa wako lini?
Najua douta..Ila nimemiss ubwabwa wa shughuli..Nwei ngoja nisubiriDaddy si Kila siku nakupikia ubwabwa teh teh... ( kuwa na subira mzee)