bomouwa JF-Expert Member Jun 19, 2014 1,149 798 Mar 5, 2016 #1 Habari zenu wanajamvi? Naombeni kujua ninanunuaje kifurushi cha azam na kinaitwaje ili nione azam two...?
Habari zenu wanajamvi? Naombeni kujua ninanunuaje kifurushi cha azam na kinaitwaje ili nione azam two...?
the locksman JF-Expert Member May 5, 2012 1,102 353 Mar 5, 2016 #2 bomouwa said: Habari zenu wanajamvi? Naombeni kujua ninanunuaje kifurushi cha azam na kinaitwaje ili nione azam two...? Click to expand... Unalipa 12,000/- via MPesa, tigo unapata hio azamtwo
bomouwa said: Habari zenu wanajamvi? Naombeni kujua ninanunuaje kifurushi cha azam na kinaitwaje ili nione azam two...? Click to expand... Unalipa 12,000/- via MPesa, tigo unapata hio azamtwo