Nanunua tv yoyote

Mm nahitaji fundi wa TV,LG flat panel ilidondoka, sasa display inaonesha sehemu ndogo tu
 
Mm nahitaji fundi wa TV,LG flat panel ilidondoka, sasa display inaonesha sehemu ndogo tu
Nlikuwa na mpango wa kuitundika yangu ukutani mbona unaniogopesha tena kumbe huwa zinadondoka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom