Nanunua simu mbovu za aina zote

King mkucha

Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
89
Reaction score
71
Nanunua simu mbovu aina zote haijalishi imekufa kabisa au ni vipi, usitupe tena simu iliyombovu niwekee tufanye biashara.... mimi nipo dsm call me on 0654388979
 
Nanunua simu mbovu aina zote haijalishi imekufa kabisa au ni vipi, usitupe tena simu iliyombovu niwekee tufanye biashara.... mimi nipo dsm call me on 0654388979
Kwahiyo unamfuata mteja alipo au biashara inafanyika kwa njia gani mkuu
 
Inategemea anasimu ngapi nitamfata alipo, nitakufata kuanzia simu 5 ila kwa watu wa dar ila wa mikoani tutawasiliana
Kwahiyo unamfuata mteja alipo au biashara inafanyika kwa njia gani mkuu
 
Inategemea anasimu ngapi nitamfata alipo, nitakufata kuanzia simu 5 ila kwa watu wa dar ila wa mikoani tutawasiliana
Sawa mkuu, Nina simu moja tu Samsung J7 Prime Grand . tatizo lake ilianguka tu ikazima basi.
 
Nina HTC One A9 na Samsung J7 pro zote zilipasuka kioo tu lkn nzima kabisa utanipa ngapi kwa zote mbili?
 
NINA SIMU YA TOCHI bbm imevilia wino juu ya kioo je utanipa bei gani
 
Mfano iphone mbovu 2 na samsung mbovu 3 nazinunua kwa 100k...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…