Check in Member Joined Jul 16, 2013 Posts 44 Reaction score 29 Apr 25, 2015 #1 Ninanunua saketi za simu kg sh 5500 nipo Dar, kwa mawasiliano nicheki kupitia namba 0658959797
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Apr 25, 2015 #2 Saketi za simu ndo zinini muzee???
Diplomatic Imunnity JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,179 Reaction score 320 Apr 25, 2015 #3 BIGURUBE said: Saketi za simu ndo zinini muzee??? Click to expand... ni ule utumbo wa ndani ya housing la sm
BIGURUBE said: Saketi za simu ndo zinini muzee??? Click to expand... ni ule utumbo wa ndani ya housing la sm
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Apr 25, 2015 #4 Diplomatic Imunnity said: ni ule utumbo wa ndani ya housing la sm Click to expand... Sawa mkuu, mm bado wakuja nilikuwa sijui km cm zina utumbo. Haya kila la kheri boss
Diplomatic Imunnity said: ni ule utumbo wa ndani ya housing la sm Click to expand... Sawa mkuu, mm bado wakuja nilikuwa sijui km cm zina utumbo. Haya kila la kheri boss
leipzig JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 2,766 Reaction score 1,716 Apr 25, 2015 #5 BIGURUBE said: Sawa mkuu, mm bado wakuja nilikuwa sijui km cm zina utumbo. Haya kila la kheri boss Click to expand... Kiteknologia kiswahili tutsubiri sana!
BIGURUBE said: Sawa mkuu, mm bado wakuja nilikuwa sijui km cm zina utumbo. Haya kila la kheri boss Click to expand... Kiteknologia kiswahili tutsubiri sana!
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,359 Apr 25, 2015 #6 Motherboard
Diplomatic Imunnity JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,179 Reaction score 320 Apr 25, 2015 #7 durasco said: ninanunua saketi za simu kg sh5500 nipo dar .. kwa mawasiliano nicheki kupitia namba 0658959797 Click to expand... mkuuu unataka kupiga change kota simu ya mteja nn mm ninazo ila nakuwa na mashaka na ww usije ukawa unataka kuujumu uchumi mana mafundi ikija simu imezima mnachekelea sana
durasco said: ninanunua saketi za simu kg sh5500 nipo dar .. kwa mawasiliano nicheki kupitia namba 0658959797 Click to expand... mkuuu unataka kupiga change kota simu ya mteja nn mm ninazo ila nakuwa na mashaka na ww usije ukawa unataka kuujumu uchumi mana mafundi ikija simu imezima mnachekelea sana