Nanunua motherbord za computer zilizo kufa.

Nanunua motherbord za computer zilizo kufa.

Kingsimba

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
382
Reaction score
120
Nanunua motherbord za computer..radio...Tv na sim zilizo kufa kwa wingi wowote ulio kua naao.

Kwa mawasiliano ni sms au whatsapp kupitia namba hii ya simu 0713935738
 
mimi nina computer cases (without power supply) kama 20 hivi huhitaji? mpya hazijawahi tumika
 
Mimi nna Hp 620 imekufa keyboard naiuza...
nitafute km unaitaka!0752385949
 
Mimi nna Hp 620 imekufa keyboard naiuza...nitafute km unaitaka!0752385949
kiongozi unaweza ni pm au uni txt via sms tucheki mzigo tukubariane biashara hatuwezi kuafikiana with out kucheki mali.
 
kuna toshiba mbili zimekufa display, pm if interested
 
Nina dell optiplex gx240 imekufa motherboard nipo Arusha niWhatsApp 0753821988 if interested
 
Nashukuru sana kwa ushirikiano lakini tatizo linakuja hapa mm nanunua mother bord kwa lilo na wengi wetu humu tuna moja moja sasa niko njiani kutatua hili tatizo kwani ni changa moto nimepata....

Kwanza niwafahamishe kitu kimoja wengi wetu hawajaelewa lengo kwani wanaamini me labda nafufua mateherbord no mimi nanunua material ikli nikatengeneze matherbord mpya kabisa.

Natakiwa ni process upya hayo materlia ili nitengeneze mother bord za sim,redio,tv,moniter na hata vifaa vingine na mimi nimekua agent kwa Tz ili niwatumie mzigo.

Sasa nahitaji mzigo mkubwa ili niweze ku kufanya nao biashara nahitaji mzigo kuanzia kilo kumi na iwe siv,tv mother bord auscana na photocopie,radio na vingine vyovyote vinavyo fanana na hivyo.

Computer haijalishi iwe hata ya kizamanai kiasi gani sisi tunahitaji mother bord tuu kwa wingi wowote .
 
Back
Top Bottom