Asante kwa kuelewa but mi sio mkulima ila nimewah kufanya kautafiti ktk ufugaji wa kuku wa kienyeji wa mayai kuanzia chakula na huduma nyingine unakuta per week wana - consume kiasi kikubwa cha hela, nikajaribu kulinganisha na hilo dau lako for sure cjapata uwiano hata kidogo. So ikanibidi kuvaa kiatu cha wafugaji wa hao kuku wa mayai. So acha wafugaji waje m- negotiate bei.Karibuni jaman mumuuzie mayai ndugu yetu.nipe bei yako ya mwisho tufunge mkataba nichukue mayai yako yote
fanya 5500 tufanye bussinesmwenye mayai ya kisasa kwa kiwango kikubwa nanunua 4000@tray. idadi upto 5000trays/week. 0779420000 whatsapp
Upo wapifanya 5500 tufanye bussines
nitafute 0779420000 whatsapp only hadi kesho ndio naoatikana kwenye 4nfanya 5500 tufanye bussines