Mkuu upo Itigi sehemu gani?Sisi tulio Singida huku Itigi tunafanyaje?
Mpaka tuje kwa train? Au una wawakilishi mikoani?
Sisi tulio Singida huku Itigi tunafanyaje?
Mpaka tuje kwa train? Au una wawakilishi mikoani?
Mkuu uko wapi na unauzaje kwa Kila mojaNina desktop kama 20 hivi. Je utazihitaji? Zilikua za office lakn saiz office inatumia laptop. Kwa hyo desktop hazina kazi tena
MoshiMkuu uko wapi na unauzaje kwa Kila moja
Bei ya Kila computer bai ganiMoshi
Ila ziko moshiNichek boss whatspp 0639994549
Makubaliano, ukizikagua na kurudhika ndo tutaingia kwenye bussinessBei ya Kila computer bai gani
Niko mbali,wewe nipe specifications zake na makadirio ya bei nione kama nutahimiriMakubaliano, ukizikagua na kurudhika ndo tutaingia kwenye bussiness