NAnunua Asus, Apple au Hp laptops i5 au i7

mabumbe

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2010
Posts
298
Reaction score
40
Wakuu
yeyote mwenye laptop aina hiyo anitafute tufanye biashara.

bajeti yangu ni laki7. Ila kutegemeana na model tajwa.
 
Mkuu mi nna hp mobile workstation ina ram 2gb, processor core 2.00 ghz, 64 bit os, window 7 professional, hdd 250gb, dvd rom RW ipo kwenye hali nzuri pia ina tatizo la betri , Bei ni 380,000 maelewano yapo. Nipo Arusha
 
Mkuu mi nna hp mobile workstation ina ram 2gb, processor core 2.00 ghz, 64 bit os, pia ina tatizo la betri , Bei ni 380,000 maelewano yapo. Nipo Arusha
hii si betri yake mbovu, siitaki nataka ya kukaa na chaji masaa manne had matano!
 
Kuna jamaa ana dell yenye specification hizo
 
Wakuu
yeyote mwenye laptop aina hiyo anitafute tufanye biashara.

bajeti yangu ni laki7. Ila kutegemeana na model tajwa.

mkuu nicheki 0779420000
mzigo unaingia soon
i5
700gb
4gb ram
600,000/=
zinakuja 200pcs tunauza jumla ili tulete mzigo mwengine faster
 
Wakuu
yeyote mwenye laptop aina hiyo anitafute tufanye biashara.

bajeti yangu ni laki7. Ila kutegemeana na model tajwa.

Me nina MacBook Pro ya mwaka 2009 lkn iko ktk hali nzuri sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…