hivi mwanaume ukijikuta una wanawake wawili na lazima uchague mmoja
na umuache mwingine utafanyaje ikiwa.....
wanawake hao wana sifa tofauti kama ifuatavyo....
mwanamke wa kwanza tumuite angel.....
yeye sifa yake ni kuwa ni mzuri saaana,popote unapoongozana nae
unapata sifa na attention ya kipekee,ni mzuri kwa sura na umbo
na tabia pia,,,,,,
anapendwa popote anapokwenda,ndugu marafii wanampenda
mwanamke wa pili tumuite asha,,,,yeye ni mzuri wa kawaida
lakini ni mtamu kupita maelezo....yaani mwili wake unapokuwa
nae kitandani ni kama unaenda peponi, ni full haluwa,yaani hakuna maelezo
ingawa anaonekana wa kawaida kwa nje,
sasa swali ni hili mwanamke mzuri sana na mwanamke mtamu sana
yupi zaidi????ikibidi uchague mmoja.uchague yupi????
Hadi hapo hata kama haujasema ila inaonesha we umemzimika sana huyo wa kawaida ambaye ni mtamu kiukweli na huyo ulisema mziri huenda unapenda tu kuwa naye kwa sababu tu ya kupata sifa kitaa kuwa una kitu kikali.
Suala la msingi we chukua kila kitu roho inataka usiangalie watu wa nje watakumislead kijana. Ila acha tabia ya kuwa na madem wengi kumbuka kuna ngoma ooh!
thanx mtoto mtamu....ha haha.beauty lies in the eyes of the beholder. Kwa ushauri wa chapchap...vyote anavyoangalia huyu jamaa vinapita. Uzuri wa nje utapita mwanamke akizeeka, utamu wa kitandani nao utaisha. Hivyo asipoangalia 20 years mbele atabaki na shida tu, na ndo inakuwa mwanzo wa kutafuta nyumba ndogo. Who makes him happy the most? Yupi yuko comfortable naye kiasi anajua whatever happens hawezi kumwacha na atakuwa na furaha? Nadhani hiyo ndo true test. Kwa ufupi, nadhani hawapendi wote wawili maana yeye ana selfish intentions na wote. Hivyo awaache wote...hahahaha
hivi mwanaume ukijikuta una wanawake wawili na lazima uchague mmoja
na umuache mwingine utafanyaje ikiwa.....
wanawake hao wana sifa tofauti kama ifuatavyo....
mwanamke wa kwanza tumuite angel.....
yeye sifa yake ni kuwa ni mzuri saaana,popote unapoongozana nae
unapata sifa na attention ya kipekee,ni mzuri kwa sura na umbo
na tabia pia,,,,,,
anapendwa popote anapokwenda,ndugu marafii wanampenda
mwanamke wa pili tumuite asha,,,,yeye ni mzuri wa kawaida
lakini ni mtamu kupita maelezo....yaani mwili wake unapokuwa
nae kitandani ni kama unaenda peponi, ni full haluwa,yaani hakuna maelezo
ingawa anaonekana wa kawaida kwa nje,
sasa swali ni hili mwanamke mzuri sana na mwanamke mtamu sana
yupi zaidi????ikibidi uchague mmoja.uchague yupi????
kwani hauna utamu sio?????
kwa hiyo unataka kusema nini hapa hebu weka wazi kidogoUtamu wa mwanaume unaujua? Umemenywa nini?hahahaha
Kwani haiwezekani ukawa nao wote!? ha ha ha ha ha ha Utajiju! Boss! ukaamua kusilimu kama dini haikuruhusu na ukawa nao wote huku ukijidai na bahati yako ya mtende ya kuwa na mmoja mtamu mno na mwingine kaumbika kama malaikaukitoka naye njembas na akina dada wanawatumbulia macho kwa jinsi mnavyomeremeta
Nikiwa na Angel ni kwa ajili ya kuwafurahisha wengine kama mimi huyo Asha namchukua jumla kabisa.
Kama unatafuna ngono baki na Asha,kama unataka sifa baki na Angel lakini vigezo hivi havitoshi kama unatafuta mke,vigizo vya mke bora ni zaidi ya ngono au uzuri inabidi umpende yeye kama binadamu na mnaendana kitabia,kimawazo na mtu unaefurahi kuwa nae muda wote.