Nani zaidi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani zaidi??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Oct 3, 2009.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  hivi mwanaume ukijikuta una wanawake wawili na lazima uchague mmoja
  na umuache mwingine utafanyaje ikiwa.....
  wanawake hao wana sifa tofauti kama ifuatavyo....
  mwanamke wa kwanza tumuite angel.....
  yeye sifa yake ni kuwa ni mzuri saaana,popote unapoongozana nae
  unapata sifa na attention ya kipekee,ni mzuri kwa sura na umbo
  na tabia pia,,,,,,
  anapendwa popote anapokwenda,ndugu marafii wanampenda

  mwanamke wa pili tumuite asha,,,,yeye ni mzuri wa kawaida
  lakini ni mtamu kupita maelezo....yaani mwili wake unapokuwa
  nae kitandani ni kama unaenda peponi, ni full haluwa,yaani hakuna maelezo
  ingawa anaonekana wa kawaida kwa nje,

  sasa swali ni hili mwanamke mzuri sana na mwanamke mtamu sana
  yupi zaidi????ikibidi uchague mmoja.uchague yupi????
   
 2. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hadi hapo hata kama haujasema ila inaonesha we umemzimika sana huyo wa kawaida ambaye ni mtamu kiukweli na huyo ulisema mzuri huenda unampenda kuwa naye kwa sababu tu ya kupata sifa kitaa kuwa una kitu kikali.
  Suala la msingi we chukua kile kitu roho inataka bana usiangalie watu wa nje watakumislead kijana. Ila acha tabia ya kuwa na madem wengi kumbuka kuna ngoma ooh!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  we ungejibu kama ingekuwa wewe,yupi utachagua,mambo ya ushauri
  nasaha muachie mama terry....
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  beauty lies in the eyes of the beholder. Kwa ushauri wa chapchap...vyote anavyoangalia huyu jamaa vinapita. Uzuri wa nje utapita mwanamke akizeeka, utamu wa kitandani nao utaisha. Hivyo asipoangalia 20 years mbele atabaki na shida tu, na ndo inakuwa mwanzo wa kutafuta nyumba ndogo. Who makes him happy the most? Yupi yuko comfortable naye kiasi anajua whatever happens hawezi kumwacha na atakuwa na furaha? Nadhani hiyo ndo true test. Kwa ufupi, nadhani hawapendi wote wawili maana yeye ana selfish intentions na wote. Hivyo awaache wote...hahahaha
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  thanx mtoto mtamu....ha haha.
   
 6. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  duh...umeweka utamu ndani tena!
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  kwani hauna utamu sio?????
   
 8. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  mapenzi ya siku hizi kweli ni usanii!!!lol
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,408
  Likes Received: 81,442
  Trophy Points: 280
  Kwani haiwezekani ukawa nao wote!? ha ha ha ha ha ha Utajiju! Boss! ukaamua kusilimu kama dini haikuruhusu na ukawa nao wote huku ukijidai na bahati yako ya mtende ya kuwa na mmoja mtamu mno na mwingine kaumbika kama malaika ;) ukitoka naye njembas na akina dada wanawatumbulia macho kwa jinsi mnavyomeremeta :)
   
 10. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Utamu wa mwanaume unaujua? Umemenywa nini?hahahaha
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nikiwa na Angel ni kwa ajili ya kuwafurahisha wengine kama mimi huyo Asha namchukua jumla kabisa.
   
 12. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2009
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama unatafuna ngono baki na Asha,kama unataka sifa baki na Angel lakini vigezo hivi havitoshi kama unatafuta mke,vigizo vya mke bora ni zaidi ya ngono au uzuri inabidi umpende yeye kama binadamu na mnaendana kitabia,kimawazo na mtu unaefurahi kuwa nae muda wote.
   
 13. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  kwa hiyo unataka kusema nini hapa hebu weka wazi kidogo
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mmmh hapa no comment ...kazi kwenu wanaume kumshauri mwenzenu
   
 15. w

  wakumbuli Senior Member

  #15
  Oct 5, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Utamu kwanza unamata,hivi unajua mademu wakali hawana utamu
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu hata gari lina spare tyre moja au mbili lazima mwende sambamba mzee. Akiwa mmoja anavuja unahamia kwa mwingine.
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unanirusha roho weye mmmmh!
   
 18. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  BAK
  LEO UMETOA KALI KULIKO!
  Yaani mtu abadili dini kwa sababu hii tu? na je wakimuudhi na huku kabadili dini inakuwaje? Akijikuta imani mpya haimvutii na ile ya zamani aliiacha kwa sababu ya wanawake inakuwaje?
   
 19. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,761
  Likes Received: 2,384
  Trophy Points: 280
  Asha akijua kuwa kuna mwingine unayemtumia kwa ajili ya kuwafurahisha huo kuwa utakuwa na mapenzi ya kinafiki?Au Angel akajua kuwa ni kwa ajili ya fans tu si itakuwa balaa tu.

  Acheni mambo mengine hawezakani unless we ni mahusiano ya kinafiki you pretend unampenda kumbe hakuna kitu unasubiria kusifiawa na majirani kuwa demu wako mkali ili iweje?
   
Loading...