Hawa warembo wetu na kweli wapo kwa ajiri yetu, ila siku hizi wana msemo wao wanakwambia bongo bahati mbaya!
Yaani akiangalia mtikisiko wa tako lake anajiona yeye ni wa hongo ya milioni 10 wakati huo hapa bongo wakumpa hizo milioni 10 ni wa kutafuta kwa kupiga ramli.
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.