Mbwana anaonekana kua hazina kwny timu yetu ya taifa. Ila hasije kuvimba bichwa kwa kulewa sifa za magazetini! Inabidi afanye mazoezi mara 2 zaidi ya mazoezi ya mwalimu. Na azingatie nidhamu. Haachane na kuku wa kienyeji na mitungi. La sivyo nae ataishia,kusahauliwa na kua ka Lunyamila.