Nani zaidi kati ya haya makabila?

Nani zaidi kati ya haya makabila?

mpinga shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,234
Reaction score
959
NANI ZAIDI?
1=Mkurya aliyekwenda benk na
Spana kufungua akaunti.
2=Msambaa anayevua viatu ili
apande taksi.
3=Mkwere
anayepanda kitandani na rula
kupima atalala muda gani.
4=Nesi wa kisukuma
anayemuamsha mgonjwa ili ampe
dawa ya usingizi.
5=Mchaga anayepunguza Sauti ya
tv ili ahesabu hela.
6=Mluguru anayekwea mwembe
kuchagua yaliyoiva halafu anashuka
chini na kuyaangua kwa mawe.
7=Mjita aliyeng'arisha viatu ili apige
picha ya Paspoti Saizi...?
 
Duhh...! Ni noumaa, ila Muraaa.kiboko.....anachekesha, akifuatiwa na Bwana Mkude
 
Mchaga katisha..... Ujue ukiwa unahesabu pesa hakutakiwi usumbufu wa aina yoyote ile hata simu haitakiwi kuita wakati huo miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Mchaga aisee...na huyu Miss naniii atakuwa hivi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom