Nani Zaidi: Jack Bauer au Jason Bourne?

Mimi nabisha nakuoanaje unipatie CDs za hao jamaa

Teh teh Fursa hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jason bourne vs jack bauer hapa bauer mkali

Ila

Matt Damon vs keifer Sutherland hapa matt mkali...

Ile kwenye hizo character walizocheza hapo juu hakuna kama jack na hatotokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Yericho Nyerere ndo huyo huyo Jason Bourne hapa JF.Yaani ujinga hapa jamvini mwingi sana unless alii-verify hiyo JB kuwa YN tofauti na hapo ni utoto
 
This battle was won at the beginning, huwezi kumlinganisha Jason Borne na vitu vya kijinga hahahaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…