Nani yupo nyuma ya posho na wabunge?

Mambo mengi na ya ovyo yanayoendelea kutokea nchini wa kulaumiwa ni wananchi kwa kuendekeza mfumo ozo uendelee kuwapatia viongozi au kuwatawala na wao wananchi wakibaki watazamaji as if nchii ni mali ya wanasiasa na familia zao na marafiki zao.
 

Hamna nyuma william ugonjwa tulionao ni huu wa magamba siku ukiondoka tanzania itakuwa kama singapore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…