Nani yupo nyuma ya Membe-Gazeti la Uhuru lamtetea

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,055
Wakuu habari

Najua wengi wenu mmesikia ukosoaji wa aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa awamu ya nne Mh Bernad Membe.

Membe kwa ujasiri ambao haukutegemewa na mwanasiasa yoyote ndani ya CCM amemkosoa vikali serikali ya Awamu ya tano na hata kiongozi mkuu wa serikali hiyo.

Mbaya zaidi pamoja nabukosoaji huo hakuna chombo chochote ndani ya serikali kilicho kanusha au kukubaliana na ukosoaji huo. Vile vile hakuna msemaji yoyote wa CCM aliye toa tamko la kukubaliana na Membe au kutokukubaliana na Membe juu ya ukosoaji wake.
Hapa bado napata walakini na kujiuliza who is behindi Membe? Nani anampa kiburi kiasi hiki?

Kama mtakuwa mnakumbuka, Lowassa aliwahi kuilalamikia serikali kwamba inawanyanyasa wafanya biashara ambao waliunga mkono upinzani katika uchaguzi mkuu uliopita.

Hazikupita siku chache, serikali ilikanusha, Nape alikanusha, PM nae alikanusha

Vilevile mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Mulembo nae alikanusha, naona hapa alikuwa ana wakilisha chama chake


Lakini hili la Membe kwa kuikosoa serikali hasa katika uundaji wa baraza la mawaziri, safari za nje, mgogoro wa zanzibar, hakuna kiongozi mkubwa ndani ya ccm na hata serikali aliye mjibu Membe.

Bado napata ukakasi wa kushindwa kuelewa nani anayempa ujasiri Membe kuyasema haya?,

Tukiachilia mbali hayo, gazeti la chama nalo halija andika chochote either kwa kukubaliana nae au kutokubaliana nae kwa kipindi chote alipptoa ukosoaji huo.

Chaku shangaza leo Gazeti hili la chama, kwa mara ya kwanza ndipo linaandika habari ya Membe .
721f46fc739fab248d9e8c878591998a.jpg
 
hapana mkuu, hapa kuna makundi mawili ndani ya ccm na serikali.

Moja likifurahia anachokifanya Magufuli, lingine likichukizwaa na hatua hizo.
.....and we know we shall win...as we have confidence in the victory of "good" over "evil"
 
ukumbuke kuwa jpm ni team mkapa na membe ni team jk kwa hiyo ni makundi mawili sasa yanapimana ubavu
 
Back
Top Bottom