Igurumuki Masanja
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 993
- 2,030
Kama wapo ni jambo jema tushikamane kwa umoja wetu tushinikize mamlaka ya uteuzi ivunje baraza la mawaziri waje wengine na wao walitumikie taifa sio hao waliozoea kubebwa na majina ya familia zaoWapo ila nilidhani utakuwa umeshafanya tathmini yako ya angalau majina mawili ili tuwajadili !!
Hapa my beyi nimepotea msaada kituoni
Kabla haijabadilishwaCode nyepesi sana mbona.
Sasa tabu ya nini kuandika vitu kificho wakati humu watu ni anonymous?
🤣🤣🖐Akimtoa Majaliwa na kwa jinsi Majaliwa anavyokubalika na watu kuliko yeye nadhani ndiyo atakuwa amempatia tiketi yake ya kuwa Rais wa JMT