Nani wanatoa Scholaships Kwa vyuo vya hapa nchini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani wanatoa Scholaships Kwa vyuo vya hapa nchini??

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kaeso, Feb 13, 2012.

 1. k

  kaeso JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Heshima wakuu....
  Ninayo admission ya masters katika chuo cha kilimo SUA Morogoro. Tatizo ni kuwa nimekosa scholarships. Naombeni msaada wa taarifa ni namna gani naweza kupata scholarship kwa ajili ya hapo kusoma hapo SUA.

  Ni masters ya miaka 2(Msc. Animal Science).
   
Loading...