Kanuni ya maisha matendo huzingatiwa kuliko maneno ,mfano hai mkataza watu ulevi akiwa ni mlevi hakuna atakaye msikiliza wala kumuelewa.
Kilipofikia chama cha CHADEMA makundi na uhalisia wa mambo ni Mtanzania gani atakayekubali ama kuamini kama kweli CHADEMA ni wanademokrasia na sio wahubiri tu wademokrasia.
Nimemsikiliza Tindu Lisu,nimewasikiliza na kusoma maandiko ya baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA akiwemo Anayejiita Yeriko Nyerere (Hana nasaba na Nyerere Julias) napata tabu kama wanayoipata Watanzania wengi kwanini Mtu aliyewahi kusimamishwa kugombea Uraisi iwe ni haramu kugombea nafasi ya wenyekiti kwenye chama.
Kwanini chama hakitaki mabadiliko ya ndani lakini wanataka mabadiliko ya serikali?
Kwanini chama kinaamini juu ya mtu mmoja kana kwamba akifa yeye na chama kitakufa.
Kama Lisu hafai tuambieni nani ANAFAA ?TUNACHOHITAJI ni kuihishi DEMOKRASIA AMBAYO inahuburiwa.
Ikiwa DEMOKRASIA inayohubiriwa haipo hakuna mtu atakayewaamini tena CHADEMA.
Kashfa za ubaguzi ,ufisadi na udikteta zitaitafuna sana CHADEMA endapo hawatakubali mabadiliko ya ndani .
Imefikia wakati Chama kijitathmini.