nani wa tatu kushuka dalaja

MNYWABUJU

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
260
Reaction score
327
baada ya stand united na afrika lyon kushuka dalaja ,
nafas ilibaki moja ya kushuka , lakn timu zote zimebak ligi kuu ,
sasa timu gan ya tatu kushuka ,
anaeelewa anieleweshe
 
Imepanda namongo police tanzania n izo zilizobaki
 
Sasa nawewe ni shabiki wa mpira kweli? Aliyekwambia zinashuka tatu ni nani?
 
Zilitakiwa zishuke nne zipande nne, mbili za mwisho zinashuka moja kwa moja mbili kutoka zile za mwisho zinacheza play off na zile za daraja la kwanaza kama zikifungwa timu nne zinashuka moja kwa moja nne mpya zinapanda, kama zikifunga timu mbili zinashuka daraja mbili zinapanda.
 
Sasa nawewe ni shabiki wa mpira kweli? Aliyekwambia zinashuka tatu ni nani?
kwan kwenye ligi timu zinazoshuka daraja sio tatu3 ni mbili au utaratibu umebadilika , usijifanye unajua sana kumbe ujui, ligi zote kalibu dunia nzima timu za kusguka daraja uwa ni tatu , labda nimekuwa mvivu kufatilia ligi ya bongo utaratibu wake
 
Bongo utaratibu unabadilika kila mwaka atuna consistency.
 
kwanin zisingecheza izo mbili kati ya mwadui na kagera ,itakayofungwa ishuke daraja kukamilisha timu tatu za kushuka
 
Wao walitaka zishuke nne zipande nne. Kwa namna nyingine mwadui na kagera walikuwa wameshuka daraja lkn ili timu zinazo panda ziwe competitive zinapewa kipimo ndo kucheza play off. Sasa kama wewe unataka kupanda ligi kuu alafu uwezi kumfunga anayeshuka daraja uko ligi kuu unaenda kufanya nn?
kwanin zisingecheza izo mbili kati ya mwadui na kagera ,itakayofungwa ishuke daraja kukamilisha timu tatu za kushuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…