Na ukiona tunda ni tamu sana basi ujuwe mama tunda naye alichagua wa kuzaa nayehata matunda yanazaa
Hold on,.....Okay Ukikosa nyumba ya Kununua Nione Nikusaidie kutumia hizo million 200!!!!! Sio nyingi you know!!!!!!! Nimefulia afu nina hamu ya kuangusha House party la back in the days!!!!!! Ukinifadhili 3m sio mbaya!!!!!! Watanzania wote ni Ndugu!!!!
Back to topic!!!!!!
Ofcourse kwa sisi tunaojali future generations lazima ujiulize UZAE na nani ofcourse!!!!!! Mwenyewe i thank my mama for what she gave me for free!!!!!!
Wakukukuuu mambo vp?
Leo nilikuwa naenda kutafuta nyumba ya kununua pale sinza kumekucha,basi nikawa nimekaa pale kwa madalali kwa nyuma kuna saloon ya kike,nlikuwa namsubiri mwenyeji wangu,nikasikia wadada wakibishana/kueleweshana wao kwa wao mmoja anasema "bora kuzaa na mwanamme handsome bwana akupe mbegu/sura safi ya mtoto,mwingine akamwambia hapana vizuri uzae na mwanamume Msomi kichwa inachemka,atasaidia kupata mtoto mwenye akili na kupunguza ma ada ya shule kwa kutokuwa mzembe darasani,mabishano yalikuwa ya sauti kuu....nikajiuliza hivi kumbe wadad huwa wanafikiria hayo ya handsome na akili ili mtoto mzaliwa awape raha wazazi,Ghafla akaja dalali wangu nikaondoka nae nilitaka nisikilize nione mwisho wake/hitimisho lingekuwaje?
Mbona liko wazi.....anataka kununua nyumba..Kwa hiyo unasemaje sasa? Lengo la uzi huu ni nini?
Na ukiona tunda ni tamu sana basi ujuwe mama tunda naye alichagua wa kuzaa naye
I go for brains!
Uzae na yule ambae atakuwa tayari kuitwa baba,mume kulea familia hata wewe mama ukianguka watoto wasitetereke hayo mengine umjini tu unawas
sumbua.